Pages

The Green Maasai Members

Monday, December 31, 2012

HAPPY NEW YEAR 2013 FELLAS

"New year is like a new sun rise of hope,of prosperity,of happiness;its like a new beginning of thoughts,of words,of actions;its like a new day of energy, of strength,of ideas;its like a bunch of whole new things of pryers, of friends and of love.happy new year" 2013 fellas ...

Saturday, December 29, 2012

NANI MKWELI KATI YA TUNDU LISSU NA PROF SHIVJI KUHUSU GODLESS LEMA(SIASA ZA MAKAMANI)

Nani mkweli kati ya Tundu Lissu na Prof  Shivji kuhusu hukumu ya iliyotolewa na mahakama ya rufaa tar 21/12/2012 . Mbali na mambo mengine mahakama hiyo ya rufaa ilimrejeshea ubunge Mhs Gobless Lema toka Arusha Mjini . Baada ya wiki moja tumeshuhudia wanasheria nguli nchini wakipingana kuhusu uamuzi wa mahakama ya rufaa. ...

Sunday, December 23, 2012

Indian Scholarships For Tanzania students for the year 2013/2014

As in past years , Government  of  India sponsored scholarships will be available to Tanzania students for higher studies in India for Academic session 2013/1 Administered by the High Commission of India, on behalf of India Council for cultural relation(1CCR ) , 26 scholarships will be available for Tanzania nationals as per following...

Saturday, December 22, 2012

VACANCIES

Maintenance Planner,Laboratory Tecnician Tanzania Portland Cement Company Ltd – Posted by TAYOA – Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania Job Descriptio...

LEMA ATIKISA JIJI LA ARUSHA JIONEE BAADHI YA PICHA ZA MAPOKEZI YAKE HAPA BAADA YA KUSHINDA KESI

Mbunge  Godbless Lema wa Jimbo la Arusha Mjini apokelewa kwa shamra shamra za kutisha baada yakushinda kesi yake iliyo kuwa ikimkabli, wakazi wa  jiji la  Arusha na chama cha CHADEMA wafurahia ushindi huo ulio kuwa umehujumiwa na chama tawal...

Tuesday, December 18, 2012

HAPPY CHRISTMAS AND HAPPY HOLIDAY PALS

May ur neighbours respect you, Trouble neglect u, The angels protect u and Heaven accept u Happy Christmas and Happy Holid...

Monday, December 17, 2012

Dj Empire AJA NA VITU VIPYA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA

Dj Empire a.k.a Abby Abbas yupo maeneo ya kwangulelo kushoto kituoni ukiwa unaelekea town  ndipo ofisi zilipo , anatoa huduma nzuri ya mziki wa kukodisha pamoja na Dj kwa bei poa, ewe mkazi wa Arusha na vitongoji vyake usikose kufika pale ili sherehe ama shughuhuli yako iwe poa   wahi sasa unufaike na punguzo maalum la msimu...

Sunday, December 16, 2012

MIBONO BOOKS DISTRIBUTORS WANAKULETEA OFFER MAALUM KWA MSIMU HUU WA X-MAS NA MWAKA MPYA WAHI SASA UNUFAIKE NA OFFER HII.

MIBONO BOOKS DISTRIBUTORS*. DEALERS :SUPPLY AND SELL TEXT BOOKS FOR ALL LEVEL FROM GRAND SCHOOL TO UNIVERSITY LOCATED AT KARIAKOO AGREY STREET OPPOSITE WITH MKOMBOZI BANK FOR MORE INFORMATION CALL:255713613908 :255763731108  * BY JOSEPH NOAH...

Saturday, December 15, 2012

KD HOTEL WANAKULETEA SILVER AND GOLD PARTY

 SILVER AND GOLD PARTY 2012 ITAFANYIKA SIKU YA MKESHA WA MWAKA MPYA TAR 31 DES 2012 Games Free Swimming , Drinks and Music For more Details Please call 0714111146/0713392952 VENUE: KD HOTEL KIJITONYAMA TIME :FROM 19:00PM MPAKA MAJOGOO INTRANCE :5000/= , 7000/=at the gate  Don't dare to miss i...

Thursday, December 6, 2012

DJ EMPIRE AJA NA VITU VIPYA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA

Dj Empire a.k.a Abby Abbas yupo maeneo ya kwangulelo kushoto kituoni ukiwa unaelekea town  ndipo ofisi zilipo , anatoa huduma nzuri ya mziki wa kukodisha pamoja na Dj kwa bei poa, ewe mkazi wa Arusha na vitongoji vyake usikose kufika pale ili sherehe ama shughuhuli yako iwe poa. Kwa mawasiliano zaidi waweza piga simu : +255754...

Wednesday, December 5, 2012

FOR THE NEED OF MC:MASTER OF CEREMONY CLICK HERE

Name: Aron Hunterson also knows as MC Prince found in Dar es salaam , for the following occasion  : Wedding, Send off, Graduation,Fund raising and miscellaneous. Contact:+225713563251             :+225766958482 Mail: aronhunterson@ymail.com MAKE YOUR OCCASION DIFFERENT by JOSEPH NO...

Tuesday, December 4, 2012

MIBONO BOOKS DISTRIBUTORS WANAKULETEA VITABU KWA BEI YA JUMLA NA REJA REJA NA PUNGUZO MAALUMU KWA MSIMU HUU WA MWISHO WA MWAKA NA MWAKA MPYA

MIBONO BOOKS DISTRIBUTORS. DEALERS :SUPPLY AND SELL TEXT  BOOKS FOR ALL LEVEL FROM GRAND SCHOOL TO UNIVERSITY LOCATED AT KARIAKOO AGREY STREET OPPOSITE WITH MKOMBOZI BANK FOR MORE INFORMATION CALL:255713613908                                      ...

Monday, December 3, 2012

MAADILI KATIKA JAMII

Ndugu, katika jamii tuliyopo kuna upungufu mkubwa wa maadili jambo ambalo limeondoa uhalisia wa maisha ya watu wengi sana. Tunatakiwa kufahamu kuwa kama hatuta ishi katika uhalisi wetu tutakuwa tunaalika matatozo katika maisha yetu. mfano hakuna samaki aliyedaktari wa kutibu samaki wenzake ndani ya maji kwa sababu wote wapo mahali wanapotakiwa kuwepo nandio maana hawapati matatizo ya kuh itaji daktari. Lakini sisi wanadamu tumekimbia uhalisi wetu tusijue kuwa 'kukimbia uhalisia ni kukaribisha matatizo katika maisha yetu'. Wapo dada...

Saturday, December 1, 2012

READ THE FOLLOWING STORY SLOWLY, IT'S A TOUCHING STORY. IT MIGHT BE TOO LONG BUT WORTHY READING

I have a brother who is 3 years younger than me. I wanted to buy a handkerchief, which all girls around me seemed to have. So, one day I stole 50 cents from my father's drawer. Father had discovered about the stolen money right away. He made me and my younger brother kneel against the wall as he held a bamboo stick in his hand. 'Who stole the money?' he asked. I was stunned, too afraid to talk. Neither of us admitted to the fault, so he said, 'Fine, if nobody wants to admit, you two should be beaten!' He lifted up the bamboo stick. Suddenly,...

Saturday, April 7, 2012

jaman mapenzi ni kitu hatari sana kwenye maisha unapokuwa na mpenzi inakubidi kuwa mvumilivu sana kwenye mambo yako ya maan kanumba angejuwa asingegombana na lu...

Wednesday, April 4, 2012

Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto'o, amefuta kesi dhidi ya klabu ya Barcelona inayohusu malipo yaliyotokana na uhamisho wake wa kwenda Inter Milan. Samuel Eto'o amekuwa akidai kiasi cha euro milioni tatu sawa na dola milioni 3.99 kutokana na makubaliano ya mwaka 2009. "Barcelona ingependa kuutangazia ulimwengu kwamba wanamshukuru Samuel Eto'o kwa kuonesha hiari ya kulimaliza shauri hilo," klabu hiyo ilieleza. "Alikuwa mmoja wa wafungaji hodari wa mabao katika historia ya kla...

Michezo

Wajumbe wa Kamati ya Olimpiki ya Somalia na viongozi wa chama cha kandanda cha Somalia ni miongoni mwa watu saba waliouwawa katika shambulio la bomu mjini Mogadishu. Waziri Mkuu Abdiweli Mohamed Ali pia alikuwepo wakati wa mlipuko huo katika jumba la maonyesho ya tamthilia lililofunguliwa upya hivi karibuni lakini aliiambia BBC kwamba hakudhurika. Wanaharakati wa kundi la al-Shabab wanasema ndio waliotekeleza shambulio hilo. ............

Page 1 of 1912345Next