Pages

Saturday, December 22, 2012

LEMA ATIKISA JIJI LA ARUSHA JIONEE BAADHI YA PICHA ZA MAPOKEZI YAKE HAPA BAADA YA KUSHINDA KESI



Mbunge  Godbless Lema wa Jimbo la Arusha Mjini apokelewa kwa shamra shamra za kutisha baada yakushinda kesi yake iliyo kuwa ikimkabli, wakazi wa  jiji la  Arusha na chama cha CHADEMA wafurahia ushindi huo ulio kuwa umehujumiwa na chama tawala.

0 comments:

Post a Comment