Ndugu, katika jamii tuliyopo kuna upungufu mkubwa wa maadili jambo ambalo limeondoa uhalisia wa maisha ya watu wengi sana. Tunatakiwa kufahamu kuwa kama hatuta ishi katika uhalisi wetu tutakuwa tunaalika matatozo katika maisha yetu. mfano hakuna samaki aliyedaktari wa kutibu samaki wenzake ndani ya maji kwa sababu wote wapo mahali wanapotakiwa kuwepo nandio maana hawapati matatizo ya kuh
itaji daktari.
Lakini sisi wanadamu tumekimbia uhalisi wetu tusijue kuwa 'kukimbia uhalisia ni kukaribisha matatizo katika maisha yetu'.
Wapo dada zetu leo wanavaa ovyo (mapaja, matiti nje) na kutafuta mvuto kwa kemikali mbalimbali, haihitaji akili nyingi kujua kuwa kinacho tafutwa nikile kisicho kuwepo, hivyo ukiona dada, kaka, rafiki, mchumba, mke, mume au ndugu yako anatafuta mvuto uwenauhakika kuwa hana mvuto ndio maana anatafuta kuwa nao.
Usipoteze uhalisi wako ndugu huo ndio unaokupa upekee katika jamii.

story by Moris
editor Joseph Noah
0 comments:
Post a Comment