Dj Empire a.k.a Abby Abbas yupo maeneo ya kwangulelo kushoto kituoni ukiwa unaelekea town ndipo ofisi zilipo , anatoa huduma nzuri ya mziki wa kukodisha pamoja na Dj kwa bei poa, ewe mkazi wa Arusha na vitongoji vyake usikose kufika pale ili sherehe ama shughuhuli yako iwe poa.
Kwa mawasiliano zaidi waweza piga simu : +255754781382
0 comments:
Post a Comment