Nani mkweli kati ya Tundu Lissu na Prof Shivji kuhusu hukumu ya iliyotolewa na mahakama ya rufaa tar 21/12/2012 . Mbali na mambo mengine mahakama hiyo ya rufaa ilimrejeshea ubunge Mhs Gobless Lema toka Arusha Mjini .
Baada ya wiki moja tumeshuhudia wanasheria nguli nchini wakipingana kuhusu uamuzi wa mahakama ya rufaa.
0 comments:
Post a Comment