Dj Empire a.k.a Abby Abbas yupo maeneo
ya kwangulelo kushoto kituoni ukiwa unaelekea town ndipo ofisi zilipo ,
anatoa huduma nzuri ya mziki wa kukodisha pamoja na Dj kwa bei poa, ewe
mkazi wa Arusha na vitongoji vyake usikose kufika pale ili sherehe ama
shughuhuli yako iwe poa wahi sasa unufaike na punguzo maalum la msimu wa mwisho wa mwaka na mwaka mpya..
0 comments:
Post a Comment