Pages

Wednesday, April 4, 2012

Michezo

Wajumbe wa Kamati ya Olimpiki ya Somalia na viongozi wa chama cha kandanda cha Somalia ni miongoni mwa watu saba waliouwawa katika shambulio la bomu mjini Mogadishu.
Waziri Mkuu Abdiweli Mohamed Ali pia alikuwepo wakati wa mlipuko huo katika jumba la maonyesho ya tamthilia lililofunguliwa upya hivi karibuni lakini aliiambia BBC kwamba hakudhurika.
Wanaharakati wa kundi la al-Shabab wanasema ndio waliotekeleza shambulio hilo. ...........

0 comments:

Post a Comment