Pages

Saturday, January 12, 2013

UCHAGUZI WA CHADEMA VYUO VIKUU (CHASO) KUFANYIKA KESHO TAR 13/1/1213 MAKAO MAKUU YA CHAMA KINONDONI

Ndugu viongozi wa chadema vyuo vikuu Tanzania (chaso), naombeni mumpigie bwana Desmond Haukila J kura kesho 13/1/2013 kuanzia saa 3 asubuhi, makao makuu ya CHADEMA Kinondoni Dar ,katika uchaguzi wa viongoz wa CHADEMA vyuo vikuu , anagombe nafasi ya MRATIBU MKUU, kijana ni makini na anauwezo mzuri kisiasa ni mwakilishi wa St John's University of Tanzania dsm campus, 1 ♥ kwa makamanda wote wa CHADEMA vyuo vikuu.

0 comments:

Post a Comment