CHASO KUELEKEA 2015
DR .SILAA
NJOO USHUHUDIE:
- TAMKO LA CHASO DHIDI YA WASALITI WA CHADEMA
- MAFANIKIO YA MALENGO YA CHASO-MKOA WA DSM
- BURUDANI MBALIMBALI TOKA KWA MAKAMANDA WA CHASO
- DR.SLAA AKIKABITHI TUZO KWA MAKUNDI MBALIMBALI YA CHAMA
- WATU WAKIVUA MAGAMBA NA KUVAA MAGWANDA
- BIDHAA MPYA ZA CHAMA (MAONYESHO YA BIDHAA)
- YOTE HAYA NA MENGINE MENGI NI NDANI YA UKUMBI WA DONBOSCO_MORROCO-MBUYUNI
- KUANZIA SAA 3:00 ASUBUHI HADI SAA 8:00 MCHANA , TAR 19/1/2013
- PANDA GARI YOYOTE ITAKAOYOKUFIKISHA MORROCO UTAONA KIBAO CHA DONBOSCO AU BENDERA YA CHAMA CHA CHADEMA
KINGILIO NI BURE KABISA, WAHI SEAT.
USIKOSE NA HILI KAMANDA!!!!!!!!!!!!!!!
UTAPENDA............... WE .............ACHA TU.
PIPOOOOOOOOOOOOOOZ.........PAWAAAAAAA!!!!!!
0 comments:
Post a Comment