
JUMANNE, APRILI 23, 2013 05:07 NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MNYUKANO mkali wa kisiasa, unatarajiwa kuibuka tena Juni, mwaka huu, kati ya CCM na CHADEMA, pale vyama hivyo hasimu vitakapokutana kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani Jimbo la Arusha Mjini. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza Juni 21, mwaka huu, kufanyika chaguzi za marudio kote nchini,...