Pages

The Green Maasai Members

The Green Maasai Members

The group members gathering.

The Green Maasai Members

The group members gathering

The Green Maasai Cheif Executive

Mr. Joseph N

Saturday, April 7, 2012

jaman mapenzi ni kitu hatari sana kwenye maisha unapokuwa na mpenzi inakubidi kuwa mvumilivu sana kwenye mambo yako ya maan kanumba angejuwa asingegombana na lulu

Wednesday, April 4, 2012

Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto'o, amefuta kesi dhidi ya klabu ya Barcelona inayohusu malipo yaliyotokana na uhamisho wake wa kwenda Inter Milan.
Samuel Eto'o amekuwa akidai kiasi cha euro milioni tatu sawa na dola milioni 3.99 kutokana na makubaliano ya mwaka 2009.
"Barcelona ingependa kuutangazia ulimwengu kwamba wanamshukuru Samuel Eto'o kwa kuonesha hiari ya kulimaliza shauri hilo," klabu hiyo ilieleza.
"Alikuwa mmoja wa wafungaji hodari wa mabao katika historia ya klabu

Michezo

Wajumbe wa Kamati ya Olimpiki ya Somalia na viongozi wa chama cha kandanda cha Somalia ni miongoni mwa watu saba waliouwawa katika shambulio la bomu mjini Mogadishu.
Waziri Mkuu Abdiweli Mohamed Ali pia alikuwepo wakati wa mlipuko huo katika jumba la maonyesho ya tamthilia lililofunguliwa upya hivi karibuni lakini aliiambia BBC kwamba hakudhurika.
Wanaharakati wa kundi la al-Shabab wanasema ndio waliotekeleza shambulio hilo. ...........